- Posted by Freebloggertemlatetz
- on
Kiatu
Awali IS ilitoa video ambayo mwandishi wa habari wa Nigeria Ahmad
Salkida, anaamini ilikua na uhusiano na nyingine tofauti ya wapiganaji
wa jihadi iliyoripotiwa kutolewa na kiongozi wa Boko haram Abubakar
Shekau alidai 'Yesu sio mtoto wa mungu'. Shekau kwa mara nyingine tena
aliripotiwa kuwatishia Waislamu na Wakristo wanaounga mkono mawazo
huru.
Karibu miezi miwli baadae, tarehe 22 Disemba IS ilitangaza kampeni mpya ya wanamgambo hao "kulipiza kisasi " cha mauaji yao na tangu walkati huo wamedai kuendesha mashambulio katika nchi mbali mbali chini ya kampeni hiyo.
Tawi moja la kundi hilo la wanamgambo wa Boko Haram kwa sasa wa apigana chini ya jina "Jimbo la Kiislamu la Afrika Magharibi " (Iswap).Mwaka jana Iswap liliwauwa wakunga wawili ambao lilikua limewateka nyara.

Comments
Google+
To turn on Google+ comments:
Learn More